Nisaidieni jinsi ya kuomba chuo.

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Salam kwenu wanajukwaa.

Mimi nilihitimu kidato cha sita miaka minane iliyopita, na baada ya hapo niliamua kujiajiri mpaka sasa. Nimeamua kurudi shule kusoma mambo ya afya hasa (Clinical officer), kulingana na kuwa nje ya mambo haya kwa muda mrefu kumetokea mabadiliko mengi ya namna ya kufanya maombi toka kutuma chuoni mpaka TCU, NACTE na njia nyingine kama zipo.

Hapa sijui kwa mahitaji yangu natuma maombi kutipia taasisi gani kati ya chuo, tcu, nacte nk. Naomba wajuvi mnijuze.

Pia nipate ushauri wa chuo kizuri kwa elimu bora hasa katika mazoezi ya vitendo lakini pia mnaweza nishauri kuhusu kozi nzuri zaidi nazoweza kusoma tofauti na hiyo.

Nawashukuru wote mtakao guswa na kunipa ushauri.
 
omba tcu md kwa vyuo vya private nursing au phamacy utapata nadhani maombi ya tcu ni mpaka mwezi wa saba huko
 
Back
Top Bottom