mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
kwa hakika si rahisi kuvumilia maumivu km haya haya ni maumivu ya maisha nimeyachoka
wana JF natafuta nafasi ya kazi ya fundi welding sehemu yoyote nje na ndani ya nchi mm ni fundi wa kujitegemea niko na uzoefu wa kazi hizi zaidi ya miaka 10 na naweza kufanya kazi yoyote kama kuezeka magodauni na disaini tofauti za mageti