tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Nahisi alikiwa nae anakupa vitu adimu, ad ukamuona kama agement wakonitafnya vitendo sasa hakuna maneno tena hapa eti sasa ndiyo naona hata age yetu imepishana sana jamani kwa kweli nilikuwa sioni
Endelea tu kuwa yaya kwenye ndoa ya mwenzio....
Nahisi alikiwa nae anakupa vitu adimu, ad ukamuona kama agement wako
kweli mapenzi upofu (wapenzi vipofu)
wacha weeeh! Ataletaje ugomvi wakati we ndo ulikua 'umemuoa' lazima atulie ili watoto waende shulehakuna vitu adimu zaidi ya upole wake na amani kwa kweli amani nimepata hatuna ugomvi
ushauri wako ni mzuri sana kaka yangu najua umeandika mambo mengi ambayo nayaona yote ni ya mana, macho yangu au akili yangu ilikuwa imefungwa lakini sasa imefunguka nakushukuru sana, asubuhi nitaneda kwake kuchukua gari yangu maana alikuwa natumia kwa kuwa sasa yeye hakuwa nayo na kuchukua vitu vyangu baadhi. sitaacha kuwa shukuru asanteni sana
Hadi na Ada unalipa mamaningejua nisingekubali kwa muda wote ila sikujua na ndiyo maana nilivyojua moyo wangu umekuwa mzito ninaondoka tuu
Hadi na Ada unalipa mama
unaonekana kiuchumi iko poa, naomba basi laki 2 na mie
hahahaha eti kesho ni hitimisho
Samahani kwa kucheka lkn...
Usiombe samahani. ..pichani tuu unacheka kudadadeks
Hadi na Ada unalipa mama
unaonekana kiuchumi iko poa, naomba basi laki 2 na mie
we acha tuu nimekomaaaaaa
Pole nikushauri mambo mawili lakwanza hakuna mapenzi hata kidogo ikiwezekana kaanaye mbali haiwezekani akudanganye then upate uwakika baada ya uchunguzi na mwanamke wake akasema anaitaji msaada kutoka kwako kwa hiyo wewe endelea na mmewe hapa changanya akili kibaya zaidi anawanawake wengine kutoka mtandaoni hii mbaya sana
Jambo la pili nionavyo Mimi kinachokusukuma kufanya hivyo ni kutokana na umri umekwenda hili nitatizo linaowapata wanawake wengi wanaokata tamaa jaribu kufikiria uharibu maisha yako kutokana na umri? Huyu anamke. Huyu simtanzania. Huyu anaendelea kutafuta wanawake kwenye mtandao yote haya yatakuwa machungu zaidi ya umri ulionao sasa
Wanawake wengine msiingie kwenye mausiano kwa kupenda kitu nasio mtu au kutokana na umri majuto yake nimakubwa kuliko ukipenda kwadhati/QUOTE]
anantamanisha na mm sjui nimuombe sh. Ngapii!!