Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

baraka boki

Senior Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
181
Reaction score
80
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu basi tukawa tunachat vizuri naongea naye vizuri katika maongezi yetu nikatokea kumpenda huyo mrembo basi juzi nilipomwambia nampenda kanijibu hivi .Kwamba yuko single na hataki kuwa na mtu kwa sasa basi nimelia mpaka basi Kweli inauma kukataliwa hivi jamani .Hata nikimpigia simu hapokei na meseji hajibu

Naomba ushauri please
 
Watu wengine sijui mtajua lini kutongoza...hicho ulichofanya ni kama umetoa tamko tu.
Itabidi nianzishe column ya steps za kufanya kumleta mwanamke himayani.
 
Nipe namba yake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ama kweli.maana hata simalizii,imenibidi nicheke tu.
 
Watu wengine sijui mtajua lini kutongoza...hicho ulichofanya ni kama umetoa tamko tu.
Itabidi nianzishe column ya steps za kufanya kumleta mwanamke himayani.

nipe ushauri nifanyaje
 
Lol....ulie kwani mwisho wa dunia...hujui kutongoza mkuu. Hii kitu hufundishwi college

Unachotakiwa ni kukomaa nae hizo ni mbwembwe za kike.
 
Lol....ulie kwani mwisho wa dunia...hujui kutongoza mkuu. Hii kitu hufundishwi college

Unachotakiwa ni kukomaa nae hizo ni mbwembwe za kike.

Kutongoza najua ila huyu mrembo ameuteka moyo wangu
 
dogo gia tu hiyo ya kukuzingua....komaa naye utapata mazuri..
 
kama amekujibu hivyo basi usimtajia tena piga nae storty kama kwaida atajiingiza mwenyewe,punguza BP..
 
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu basi tukawa tunachat vizuri naongea naye vizuri katika maongezi yetu nikatokea kumpenda huyo mrembo basi juzi nilipomwambia nampenda kanijibu hivi .Kwamba yuko single na hataki kuwa na mtu kwa sasa basi nimelia mpaka basi Kweli inauma kukataliwa hivi jamani
Naomba ushauri please
utakua hujui kutongoza kama ungekua unjua angkua katika imaya yako wanawake wanaitaji maneno laini
 
Kua na subira wewe huyo wako mbona! Hawezi kukubali kirahisi hapo umemaliza kazi kubwa ya kumtamkia kinachofuata ni kumuonyesha mapenzi yako kwake mwenyewe atakuja tu wala huna haja ya kulia. Prove maneno yako kwa kumuonyesha jinsi gani unampenda.
 
Back
Top Bottom