Hii laptop tatizo lake ni kwamba ikisha waka baada ya sekunde chache ina badilika nakudisplay mwanga tofautitofauti kama slide halafu inajigawa Mara mbili kwahiyo siwezi kufanya chochote some time hata inapowaka ile logo ya window inaonekana twice kwa kufifia
hilo tatizo nalijua sana tatizo lipo kwenye motherboard dispay processor nichek kwa 0784234391 nitakurekebishia mara moja, hizo dell hua zina huo ugonjwa but nikikurekebishia haitasumbua tena.
hilo tatizo nalijua sana tatizo lipo kwenye motherboard dispay processor nichek kwa 0784234391 nitakurekebishia mara moja, hizo dell hua zina huo ugonjwa but nikikurekebishia haitasumbua tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.