Nisaidieni jamani, kuna Mtu hanielewi

Kumbe ww ni babu yangu kabisa, kwahyo yule uliyetaka kumpeleka mati Mtwara ni mjukuu wako wa ngapi..?
Unadhani that time when you were at MATI-Mtwara it was me who was looking for an admission? Not at all! Mimi nimemaliza UDSM 1986. Nilikuwa nashughulikia ndugu ndugu!~ na bado nawahangaikia wengine!
 
2016 kushuka chini alikuwa na sifa,maana vigezo vilikuwa two principal passes.Nina rafiki zangu wamesoma Phamacy level ya degree wakiwa na E zote tena Bugando. Mwambie dogo hajafeli ili wakati tu.
You are absolutely right! Definitely hajafeli, ni grading system ya Tanzania ambayo inasema 40-49 marks ni E. Lakini kwa A level, tena PCB, hizo si marks ndogo kuwa huyu mtu hafai!
 
Back
Top Bottom