Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

ukigoma unataka hamu
zake zikatulizwe na nani?

mwambie u mkeo atafute mtu wa
kukusaidia, atapatikana fasta...

na hili ndilo analolitafuta...

mkuu, ongeza bidii, kula chakula
bora ukishindwa hata vya kuongeza ashiki, mtimizie mkeo haki yake,
unadhani aliolewa ili akufulie....mpe mpe mpe... au hujui 'kunyimana' ni
dhambi?

Hajafunzwa huyo mleteni Tanga huyo,aibu dume zima unashindwa na mkeo,mualike jirani yk.
 
Tembea uyaone...!
Dunia ina mambo, Mara huyu kachoka, Mara huyu kamiss. Piga bao moja moja kila Siku.
 
Analipizia miezi yote mitatu ambayo alikosa "Dudu yake" akishalipizia miezi hiyo atarudi kama zamani hapo tena utaweza kutake control ya kuamua lini anastahili kupata dudu.

Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.
 
kisa cha kumuekea mafuta nn?kwn alipooa alitegemea nn?wanaume wengi wavivu kuwajibika ndo maana mnapata wasaidizi masokoni na maoficni.

Tafadhali sana mi sio mchovu sema nimezidiwa na dozi
 
E bwana pole sana, maisha ya ndoa ni magumu, kaa naye mpange ratiba ya kutabasamisha viungo vya uzazi yaani mara 2 au 3 kwa wiki sio mbaya , daily noma
 
E bwana pole sana, maisha ya ndoa ni magumu, kaa naye mpange ratiba ya kutabasamisha viungo vya uzazi yaani mara 2 au 3 kwa wiki sio mbaya , daily noma

Bora we umeliona hili.
 
Mwanamme unaposema "nisaidieni" katika jambo kama hili, akitokea mwanamme mwenzako akasema "mimi nipo tayari kukusaidia, lala kwenye kochi niachie kitanda na mkeo" sijui utasemaje.
 
Kaka unapohitaji mapumziko singizia kichwa kinauma mshirikishe kukutafutia paracetamol ili asikusumbue au kulilia dudu la mgonjwa! Ni mbinu nzuri pia unapokua umeharibu mtaani na unahisi kushtukiwa
 
Ongeza ufundi Arifu! usikubali kupigwa chenga na kanzu kirahisi. Usisahau kutumia kila mbinu, yakiwemo MAJKT :israel:!!! Ahhh. nimesahau ile kambi ya jeshi kule nyanda za juu.
 
Kaka komaaa....fanya utafiti wa vyakula maalum (natural) vinavyokupa nguvu ya kutosha, akikupigia simu uwahi wewe unauliza chakula kipo tayari? ukifika msosi then unapumzika kodogo game, baada ya hapo msosi mwingine na juice ya kutosha then game! mazoezi kidogo si mbaya,
Piga game acha utani,
 
mwanaume kupata daily mbona kawaida? Au we kiwango duni nini kaka! Jikaze bana usiwaangushe wenzio ati... But thanks umenichekesha sana unavo lalama hadi nimeona huruma
 
Jamani sina tatizo la nguvu za kiume nina uwezo wa kupiga 3 kwa siku ila nimeshaanza kuona adhabu na sio raha tena
 
Hapo ina maanisha kipindi wewe haupo kuna mtu alikua anampa dozi daily sasa wewe umerudi huyo mtu kapumzika sasa na wewe inabidi utekeleze dozi fasta kabla haujaumbuka,fanya romance sana halafu umalizie na moko tu! Fanya hvyo mpaka hatakapochoka mwenyewe!!! Mwanamme anasifiwa kazi tu!!
 
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.

anatafuta mimba na akiipata pengine akataka usimguse kwa miezi tisa au ndio akahitaji uongeze dozi. Mlidhani ndoa ni vigelegele siku ya harusi? Ndoa tendo la ndoa vijana wangu!
 
Tendo la ndoa linapokuwa adhabu, unaweza hata kutotamani kurudi nyumbani kwa kuhofia mke mwenye libido la hali ya juu kukurukia mara tu utakapofungua mlango ili umpe mchezo. Inabidi ujitahidi tu maana ukilegeza kamba inaweza kula kwako.

Jamani sina tatizo la nguvu za kiume nina uwezo wa kupiga 3 kwa siku ila nimeshaanza kuona adhabu na sio raha tena
 
Back
Top Bottom