WanaJFwenzangu mambo vp?
Naombeni msaada wenu kwa wenye uzoefu wa hii OPERAMINI yenye O kubwa kwa mimi ninayebrowse kwa kutumia simu ya Nokia E61i.
Ninapoingia humu JF kupitia mfumo wa Desktop ninapohitaji kuanzisha TOPIC mbona sioni sehemu ya kuandika ujumbe au maelezo ninayohitaji kuyapost, ipo sehemu ya kuandika TITLE tu.
tafadhali naomba msaada wenu.
jaribu opera 11 au uc browser,mara nyingi opera 6.5 ukilog in ina kulog out,naweza kusema opera wamechemsha sana kwenye hii version 6.5, ina matatizo mengi.