Nisaidieni hii Chemsha Bongo, mimi imenishinda

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Nataka nione km ww ni mjanja na mzaliwa wa TZ,ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho MSIKITINI NA KANISANI na vile vile jina la mji hilo ni jina la msanii wa BONGO MOVIE
 
Tupe jibu ww😂
 
Back
Top Bottom