Nisaidieni Dell Optiplex GX260 series Processor 2.6 Ghz 768 Ram umeme ukiwa mdogo inazimika

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,212
1,500
Nisaidieni Dell Optiplex GX260 series Processor 2.6 Ghz 768 Ram umeme ukiwa mdogo inazimika na kuanza kuRestart mpaka umeme utakapoongezeka lakini desktop zingine mzigo kama kawa hata kama umeme mdogo sijui shida ni gani Nisaidieni jamani
 

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
477
195
tafuta ups, au power supply itakayokuwa inaregulate umeme unapokuwa umepungua. Devices zote hazifanani mkuu inabidi ukubali hiyo hali.
 
Top Bottom