May Sometimes Processor Upgrading Cause PC to shut down several times during electric low power

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
Hebu nisaidieni kwa sababu niliwahi kuUpgrade processor ya Intel Pentium4 2.4 Ghz kwenda Intel Pentium4 2.6 Ghz na Desktop nayotumia ni Dell Optiplex GX260 series sasa umeme ukiwa mdogo huwa inaRestart several times hadi umeme utakapoongezeka lakini kuna jirani yeye ana Compaq yeye huwa anaendelea kuEnjoy. Mwageni msaada hapa
 
Siledi yangu imeogopwa kama ukoma au kwa vile nimesema natumia Desktop na wakati Wengine wanatumia Ipad hahahahaha!
 
Kamanda sidhani kama ku-upgrade processor ikawa issue ingawaje inawalakini hapo kama voltage ya processor ya 2.4Ghz na 2.6Ghz hazilingani basi ukweli utabaki kuwa hivyo lakini ushauri wa bure kwa nini usitafute UPS za APC used hadi kwa buku 50 ikakutoa na kukulinda na pc yako?
 
Kamanda sidhani kama ku-upgrade processor ikawa issue ingawaje inawalakini hapo kama voltage ya processor ya 2.4Ghz na 2.6Ghz hazilingani basi ukweli utabaki kuwa hivyo lakini ushauri wa bure kwa nini usitafute UPS za APC used hadi kwa buku 50 ikakutoa na kukulinda na pc yako?

Asante mkuu acha nikakugongee Like
 
dell mara nyingi ikiwa low voltage husumbua hata kuwaka ni issue na wakati mwingine taa kwenye power button hubadilika kuwa orange badala ya green, kama ushauri wa mdau hapo juu tafuta ups nzuri maana nyingine huwa hazina msaada kwani umeme ukikata na ups inakata badala ya relay kuchange kwa battery
 
yap ata mm ilo tatizo ninalo na nina dell kama iyo.cha kufanya tafuta stableraizer au ups..apo itakuwa poa
 
si vyema ku-upgrade processor kutoka ya chini kwenda ya juu zaidi kama ulivyofanya manake mara nyingi architecture hutofautiana hasa upande wa bus...sina hakika kama processor ya 2ghz na ya 4ghz zitafanana katika usafirishaji wa data kwenye motherboard...
 
Back
Top Bottom