nisaidieni bei ya blackberry 8830

Timoso

Senior Member
May 27, 2012
135
23
nahitaji kujua bei ya new blackberry 8830 world edition hapa bongo. msaada wenu wakuu
 
nmegoogle mkuu, but sijapata exact bei kwa apa bongo. inanletea bei za ughaibuni tu
 
Kuliko kununua BB hii ni bora kununua BB Pearl 8100 ambayo angalau ina camera kuliko 8830WE ambayo haina Camera na kwenye net inasumbua sana..

Unaweza kuipata kwa tsh 150,000 laki moja na nusu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom