Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
Sijui hii kitu ina ukweli gani
Lakini kuna jamaa zangu wengi sana walikuwa ni mafundi wa hii makitu lakini hawakuwahi kupata tatizo hili
Nadhani hili tatizo linaletwa na chanzo zaidi ya kimoja
Nadhani namna ya kufikiri inahusika sana!!
ni mattizo ya kisaikolojia
maana unapopiga nyeto akili yako ni kujiridhisha
hiyo inakufany kujenga mazoea ya kukojoa haraka na hauwezi kujizuia hata unapokuwa na mwanamke kwa sababu unakuwa na. tabia ya ubinafsi