mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Za Jumapili wana jamvi?
Nimepata demu wa kizungu kupitia mtandaoni, naomba kujuzwa ni watu wa aina gani nisijekuukwaa mkenge ndugu zangu. Najua jamvi hili wapo wajuvi tusaidiane jamani