Wadau, Nimemejaribu kuangalia hili tangazo nikaamini kuwa kuna tatizo kidogo. Sina hakika ni mimi peke yake mwenye hilo tatizo. Na kama hilo tatizo lina exist na kama wewe ndiye mwenye kampuni; Mhariri Mkuu anatakiwa kufanywa nini?
Ni Milambo,zamani walitumia Mirambo,ila kwa sababu wanyamwezi hawana 'r' ikaondolewa.Kimsingi kutumia jina la mtemi huyumaarufu kunaipromote Balimi lager,yaani yenye nguvu kama mtemi huyo alivyokuwa na nguvu katika utawala wake.