Nisaidie kwa hili

Nisaidie kwa hili

JIGOKU IKAYA

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
38
Reaction score
46
Wanajamvi habariiii.....,. Mi kuna jambo linanisumbua. Eee bana natamani wanawake walionizidi umri. Nina miaka 26 tu. Wanawake 35-45 nawazimia sana. Lakini sina ujasiri wa kuwatokea kwa sababu nawaheshimu kwa umri wao. Kutoka MOYONI nawapenda mno. Wanajamvi naomba mwenye uzoefu na hawa anipe mbinu za kuwanasa. Natafuta mmoja tu kiu yangu tosha kabsaaaa. Karibuni.
 
Stunner ukuje huku umsaidie domo zege huyu
 
bandika matangazo kwenye nguzo za umeme...kisha ulete mrejesh hapa
 
Una nyota ya kuitwa Baba wa kambo weye,Pesa unayo lakini wenzio ndio tunapohifadhi ATM zetu huko Mwisho wa mwezi ndio wanatulipa mshahara ila kazi tunafanya sisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom