Nisaidie interview quest post assistant accountant

wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
40
Napenda kumshukuru mungu na wana jf wote kwa jumla nawasalimu,nimatumain yangu kuwa niwazima wa afya na upendo tele.nimebahatika kuitwa kwa interview post assistant accountant naomba msaada wenu wa common quest kwa post hii jamani najuwa hapa jf hakuna kinachoshindikana.wana jf wote nisaidie mdogo wenu.natanguliza shukuran za dhati.
 
Ni kampuni/org gan?
Chamuhimu fahamu concepts zote za accounts, pitia CV yako kwanza ujue kila item uliyoiweka na uwe na confidence!
All the best
 
Utaulizwa how old are you? jibu short and clear usianze ooh you knw I was born in 1880 so I am 131 years old utalimwa!

Nadhani kama una elimu waliyoihitaji hakuna haya ya kuuliza utaulizwa nini kwani utawahakikishia unaifahamu kazi na upo tayari kuifanya kazi kwa ajili ya kuikuza kampuni na wewe kukuwa pia! kwenye michezo mkuu usije ukasema mie sichezi mchozo wowote kwa sababu nina kifafa hutapewa kazi maana hakuna mtu anaetaka kumwajiri mtu anaeanguka kifafa (kiukweli) japo kila mtu ana haki ya kuajiriwa.
 
pitia concept za accounting,ethic za accountant,jaribu pia kupitia kwenye job discription ya kazi uliomba lazima ufahamu mambo yote eg
kama responsibilty ilikuwa to make bank reconciliation lazima ufahamu wht is bank reconcliation and so on hope umenisoma
all the best
 
Back
Top Bottom