Nisaidie hili kuhusu facebook

Nisaidie hili kuhusu facebook

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Wakuu,

Kwenye fb account yangu nili-enable security code kwa kutumia namba ya simu. Sasa machine imekuwa formated kwahiyo browser ni mpya na siwezi log in fb mpaka nitumiwe code yao, shida ni kuwa sms yao haiwi derivered kwenye simu yangu na hii ni siku ya 2.

Kuna lolote naweza fanya kutatua hili?. Nimejaribu kufuta sms karibu zote katika simu still fb hawafikishi sms code.
 
Angalia hapo kwenye 'dont remember password' ukiclick watakutumia password yako kwenye email.
 
Password siwezi kusahau. Ni kuwa ili ni-log in pamoja na kuweka user name na password, bado kuna code lazima nitumiwe kwenye simu, imekaa kiulinzi zaidi najuwa wapo wanaonielewa.

fb tayari nina marafiki zaidi ya 2000 na ninategemea wafikie 5000 hivi karibuni sasa huko twitter mpaka niwapate hao wote miezi inahitajika lakini nayo natumia ila kidogo fb ndiyo zaidi.

Hamia twitta
 
Wakuu,

Kwenye fb account yangu nili-enable security code kwa kutumia namba ya simu. Sasa machine imekuwa formated kwahiyo browser ni mpya na siwezi log in fb mpaka nitumiwe code yao, shida ni kuwa sms yao haiwi derivered kwenye simu yangu na hii ni siku ya 2.

Kuna lolote naweza fanya kutatua hili?. Nimejaribu kufuta sms karibu zote katika simu still fb hawafikishi sms code.

Kuna tatizo FB kwa mda mrefu sasa la kutuma verification code. Inabidi uliripoti kwao ili waweze kulifanyia kazi.
 
Duh!, nimesharipoti na wamenijibu ila masharti ndiyo mengi mpaka niwatumie picha ambayo ipo verified by govt kwahiyo nikadhani kuna namna nyingine. Basi itabidi niendelee kucheki nao. Na tatizo usipo-save browser itakuwa kila mara lazima utumiwe code. Ngoja niendele nao.

Kuna tatizo FB kwa mda mrefu sasa la kutuma verification code. Inabidi uliripoti kwao ili waweze kulifanyia kazi.
 
Ohoo. Hiyo ya simu hata mie nilishawahi kukwama kwenye gmail. Angalia codes zile za ajabu ajabu. Keep trying hadi wakupe rahisi. Pole
Password siwezi kusahau. Ni kuwa ili ni-log in pamoja na kuweka user name na password, bado kuna code lazima nitumiwe kwenye simu, imekaa kiulinzi zaidi najuwa wapo wanaonielewa.
 
Mi nashukuru upande wa gmail haijawahi kusumbuwa ila fb inanitokeaga lakini hii ya safari hii imezidi. Codes za ajabu ajabu nitapata wapi?. Ahsante kwa pole.

Back
Top Bottom