Habari za asubuhi wana Mmu mimi nikijana mwenye umri wa miaka 23 nafanya kazi yangu binafsi ambayo inanipa kipato maisha yangu yanaenda.
Nimwez mmoja sasa umepita tangu nilipofahamiana na msichana mmoja hv baadaya ya kufahamiana tuliweza kubadilisha namba za simu tukawa tuna wasiliana vizur ikawa si vibaya kwangu kuonyesha hisia zangu kwake kuwa nampenda sana.
Namshukuru mungu kuwa aliweza kunielewa ombilangu yeye ni gradurated wa chuo kwa sasa anasubir ajira mimi elimu yangu ni kidato cha nne ila yeye anamtoto mmoja alizaa kipindindi yuko form 6 so anamtoto tunapendana sana tatizo langu ni moja ambalo naomba msaada wa mawazo hivi karibun kama siku tatu nilikuwa nimemwambia kuwa napenda na kujitambulisha kwenu akanambia kama uko serious niko tayar nilifurah sana kwa sababi nampenda sana lakin jana alinipigia simu nakunibia unaonaje wakati nikisha pata kaz ndio uwemuda mzur kwetu kuweka mambo yetu bayana kwani si unajua nilisha haribu so its good when nikiwa nilisha pata kituo changu cha kaz so soon atakuwa mwalimu je ni sahihi kwa yeye hadi atakapo pangiwa mwezi huu au ujao kaz ndipo tunaweza kutambulishana au mimi nimefanya haraka na kitukingine aliniambia kuwa ina bidi anifaham vizur je nisahihi nahuko atakako enda atanikumbuka au atanipotezea tunapendana sana kila mmoja huwa anajitahidi kumuonyesha mwenzekake feeling zake nampenda sana.
Samahan kwa uandushi wangu kama ntakuwa nime wakwaza ila naomba msaada wa mawazo muda atakapo kuwa mbali unaweza leta maendeleo ktka mahusiano yetu asante