Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Amini nakuambia siku yatakapokukuta utakumbuka maneno yako na utatamani uyameze. Maisha haya ya kukimbizana muda hautoshi kuanza kuchokana na mume hasa kama mnapendana kwa dhati na kila mmoja anatambua wajibu wake kwenye ndoa. Nikimpenda nitatamani niwe na yeye kadri ninavyoweza, nisongependa mapenzi yake kwangu yagawanywe mara mbili. Lakini kama si mapenzi ya kweli lazima tutachokanaYaani mwenzenu swala LA mime kuoa mke was pili mm wala silichukii iswear sijui kwann yaani nashukuru bcz naona kama amenipunguzia shurba za kupika kila Siku na kum take care, bora upate mwingne tusaidiane jamani ,hvi inakuaje MTU unataka ulale na mtu mmoja miaka nenda rudi kwa huchoki kila siku unamuona kila siku munalala na kuamka pamoja kaaah jamani binadamu tumeumbwa kukinai so mm mume wangu akitaka kuoa nakubali kwanza utapata radhi za mola wako unamueshia uzinifu na itapunguza magonjwa kwa wanandoa. Ongea tu na mkeo na hakikisha unatenda haki bcz usipokua muadilifu kwa Huyo mdogo usie mpenda humtendei haki
Mhhh my dear angry bird foristance mime ishi miaka sabaa or kumi or mitano duuh utakua hujamchoka tu huyo mwanaume? Duuh nafkiri mungu alituumba tuje kuishi huku duniani jamani huezi kuishi miaka yt hyo kama mfungwa lazima upate freedom. So akioa kdg inapunguza concentration kwa mtu mmojaAmini nakuambia siku yatakapokukuta utakumbuka maneno yako na utatamani uyameze. Maisha haya ya kukimbizana muda hautoshi kuanza kuchokana na mume hasa kama mnapendana kwa dhati na kila mmoja anatambua wajibu wake kwenye ndoa. Nikimpenda nitatamani niwe na yeye kadri ninavyoweza, nisongependa mapenzi yake kwangu yagawanywe mara mbili. Lakini kama si mapenzi ya kweli lazima tutachokana
Kama ndoa ni kuishi kifungoni kila mtu angejutia kuoa au kuolewa, kwenye ndoa ndipo mahali pa kuwa free kuliko mahali popote pale.Mhhh my dear angry bird foristance mime ishi miaka sabaa or kumi or mitano duuh utakua hujamchoka tu huyo mwanaume? Duuh nafkiri mungu alituumba tuje kuishi huku duniani jamani huezi kuishi miaka yt hyo kama mfungwa lazima upate freedom. So akioa kdg inapunguza concentration kwa mtu mmoja
Atoe wapi gari na ghorofa? TV na dressing table kadundulizaNa asipotulia ajaribu kumjengea angalau kanyumba ghorofa moja. Hakuna namna....... ndo alichokuwa anakitafuta
Kwel masikin akipata makalio uliambwata umepata kaz umeongeza mke badala yakuongeza idad ya viwanja na nyumba unazomilik huyo mke wa.kwanza anahak ya kulalamika kakuvumilia ukiwa huna kitu sas umepata unaongeza mkeHabari zenu JF,
Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2.
Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea japo kwa uchache naoengeza mke wa 2 na kwa kua dini inaniruhusu.
Muda wote huo mke wangu hakuonyesha kutetereka na maneno yangu hadi ikawa ananiuliza vipi utafanya lini huo mpango wako na kuniambia nifanye ila nadhani alikuwa ananiambia kwa kua sikuwa na uwezo, Mungu mkubwa akanipa kiajira mwaka 2014 hali ikawa afadhali nikamuambia mke wangu nikimuona ataerizika namuoa hapa alionesha kutetereka maana alijua muda umekaribia masharti yakaja kama nikimuona basi mahari ya huyo nitakaemuoa na yeye nimpe hayo nikamjibu sawa.
Siku nilipompata nikadaiwa kitanda, godoro, kabati na dresing basi nikaanza kununua vya mke wangu taratibu yeye hakujua kua natimiza miadi nikaongeza kwake kwa TV na Friza na Cable ili nikiwa zamu kwa mke mdogo vimliwaze.
Baaada ya kufanya hayo kwa usiri nikaoa tarehe 22/4/2016 mama yangu baaada ya kujua kawa mkali matusi mtindo mmoja malalamiko na kusema kuwa sikumtendea haki kila nikimpoza na kunasihi basi kama moto niliomwagia petroli anasema kanivumilia katika ziki leo namlipa hili.
Mke wangu kwa kweli nampenda sana hadi najilaumu kuyaamini maneno yake hadi najisikia vibaya sana kwa maneno yake na kufikiria kumuacha mke wa pili ila nimuacheje na yeye hana kosa lolote mimi ndio nilimchagua na pia ni mtoto mdogo nimuweke mjane itakuwa sijamtendea haki na nitakuwa nimejitia aibu.
Naombeni msaada ili nizungumze na wote wanielewe na mke mkubwa atulie ingawaje toka nioe nimekua nampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo.
Вфцф
Sawa dini yako inaruhusu, lakini navyo jua in hadi kuwe na sababu ya kufanya hivyo. Wewe sababu pekee ya kufanya hivyo ni kwakuwa umepata ajira. Kwa mwendo huu tutazidi kuwa masikini tu. Anyways ngoja nikuitie Kungwi mzoefu mstaafu FaizaFoxy
Alipata kazi akaamua kuoa....Yani umeoa mke wa pili lakini unampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo..Hapo mke mdogo hata mwezi tu hajamaliza..Hapa ndo uwa nashindwa kuelewa hii mantiki ya kuoa wanawake wengi..Ulioa ili iwaje sasa..
Nenda Marekani kakaSamahani mkuu, Hivi kwa nini waisilamu wenye asili ya kiarabu huwa hawaoi wake wawili au zaidi hovyo?, mara nyingi naona waislamu wenye asili ya kibantu ndo kutwa kuongeza wake.