Nirekebishe Vipi tatizo la Blue Screen kwenye Windows 7!?

Nirekebishe Vipi tatizo la Blue Screen kwenye Windows 7!?

Mimi pia nilikua na tatizo kama la Mkuu wa chuo, nilijaribu njia zote zilizotolewa hpa bila mafanikio yoyote, Mwisho wa siku nili install LinuxMint badala ya Windows, baada ya kuinstall LinuxMint sijapata tatizo kama hilo tenaa.

NB: Hii unaweza kuitumia kama Option ya Mwisho kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom