Nahisi wewe ni mwenyeji umekija kivingine.[COLOR=#ff0000 said:Amwit52[/COLOR];2996697]Karibu sana mgeni, niliyekupokea naitwa Amwit, ukipenda waweza fupisha na kuniita "A". Ungependa nikutembeze maeneo gani?
Karibu sana. Na mabaya je?nimejiingiza humu ili tushiriki katika yale yote mazuri kwa jamii yetu