Hi members,mi mgeni katika jamii forums,naomba ushirikiano wenu na mimi naahidi kutoa ushirikiano wangu kadiri Mungu atakavonijalia!
I Love You All!!!!!!!!!!!!!!!
Hi members,mi mgeni katika jamii forums,naomba ushirikiano wenu na mimi naahidi kutoa ushirikiano wangu kadiri Mungu atakavonijalia!
I Love You All!!!!!!!!!!!!!!!
mimi pia ni mgen ndan ya jamii ya great thinkers,we hope to receive ful cooperation from other thinkers.na ni nia yetu kuwashawsh watu weng zaid wajiunge na jamii hii kwan manufaa ni mengi.
Hi members,mi mgeni katika jamii forums,naomba ushirikiano wenu na mimi naahidi kutoa ushirikiano wangu kadiri Mungu atakavonijalia!
I Love You All!!!!!!!!!!!!!!!
Welkom Big sam ingawa nahisi umechelewa ku-join in very pontential network!! Angalia threads member they real compare JF na University offer various programs which is very very true!.... Again karibu sana big sam the only thing is that KILA PAHALA PANA TARATIBU ZAKE obey the rules ili mwisho wa siku uwe member wa mfano na sio kuishia BAN kama Malaria sugu!! Karibu sana!