Hahahahaha napenda siasa lakini huko nitaingia baadaeChadema =nyumbu vs.
Ccm= buku saba Lumumba
Kuna simba vs. Vyura yanga ( tp mazembe)
Kuna singles vs. Married
Makonda squad vs. Everyone
Magu squad vs. Everyone
Wanaoamini uwepo wa Mungu vs. Wasioamini.
Etc etc
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nimesoma stori za huyo jamaa ni mafia sanaKaribu, naitwa Carlos The Jackal, Gaidi aloisumbua na kuitikisa na kuitisha Dunia kwa muda wa miaka 30 !!!
Ila nilikuja kukamatwa kizeeeembe sana .
'A bad peace is better than a good quarrel '