BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
wewe mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanamke andika jina lako hapa kwa ukaguzi
Kama ni mwanamke andika jina lako hapa kwa ukaguzi
karibu mgeni, vp kamanda Lissu hajambo?
Kaibu sana msingida kwan ww ni mrengo wa kushoto au kulia? Faili lako halina virus?
wapi babu aspirini kuna mgeni huku amekuita doctor.sijui watibu nini
Karibu sana mgeni! Wewe ni ke au me!
wewe mwanaume au mwanamke?
Kama ni mwanamke andika jina lako hapa kwa ukaguzi
mie dume la shoka... mwanaharakati... mwana M4C
Teh! Teh! Teh! Mie kidume.