chimamii Member Joined May 24, 2022 Posts 5 Reaction score 14 May 25, 2022 #1 Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,917 Reaction score 10,461 May 25, 2022 #2 Weka picha tukufanyie uhakiki wa utambulisho.
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,145 Reaction score 16,997 May 25, 2022 #3 Karibu.
C Chumvi yao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,578 Reaction score 5,544 May 25, 2022 #4 Karibu mchumba wangu........mi ni bonge la mchakarikaji lakini kwenye huendisamu sipo
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,145 Reaction score 28,845 May 25, 2022 #5 maddox said: Karibu mchumba wangu........mi ni bonge la mchakarikaji lakini kwenye huendisamu sipo Click to expand... Haiombwi hivyo mkuu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
maddox said: Karibu mchumba wangu........mi ni bonge la mchakarikaji lakini kwenye huendisamu sipo Click to expand... Haiombwi hivyo mkuu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
George Barran JF-Expert Member Joined Sep 2, 2015 Posts 654 Reaction score 1,301 May 25, 2022 #6 Karibu bidada tunakupenda Ila npo single pia
George Barran JF-Expert Member Joined Sep 2, 2015 Posts 654 Reaction score 1,301 May 25, 2022 #7 Satoh Hirosh said: Haiombwi hivyo mkuu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kashafeli
Satoh Hirosh said: Haiombwi hivyo mkuu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kashafeli
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 May 25, 2022 #8 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,345 May 25, 2022 #9 chimamii said: Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa! Click to expand... Karibu sana na tupe merital status
chimamii said: Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa! Click to expand... Karibu sana na tupe merital status
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,253 Reaction score 108,228 May 26, 2022 #10 Karibu sana JamiiForums...
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,413 Reaction score 5,314 May 26, 2022 #11 Ninakazi ya kukutembeza ktk Majukwaa yoote Soo kuwa mvumilivu na Karibu
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 May 26, 2022 #12 chimamii
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,698 May 26, 2022 #13 karibu sana jisikie upo nyumbani.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,078 Reaction score 102,510 May 26, 2022 #14 adden said: karibu sana jisikie upo nyumbani. Click to expand... Akichinja Kuku au kukaanga mayai 6 usije kumlaumu,si umemwabia ajisikie kama yupo Nyumbani. ππππ
adden said: karibu sana jisikie upo nyumbani. Click to expand... Akichinja Kuku au kukaanga mayai 6 usije kumlaumu,si umemwabia ajisikie kama yupo Nyumbani. ππππ
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,467 May 26, 2022 #15 Kasahau password baada ya kujiunga
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,134 Reaction score 7,650 May 26, 2022 #16 Mtoto halali na hela said: Kasahau password baada ya kujiunga Click to expand... Haitashangaza, baadhi ya ID zinazomkaribisha hapa, ni zake mwenyewe! Pia, inaweza ikawa, waalaaaa si MDADA!
Mtoto halali na hela said: Kasahau password baada ya kujiunga Click to expand... Haitashangaza, baadhi ya ID zinazomkaribisha hapa, ni zake mwenyewe! Pia, inaweza ikawa, waalaaaa si MDADA!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,467 May 26, 2022 #17 Ghiti Milimo said: Haitashangaza, baadhi ya ID zinazomkaribisha hapa, ni zake mwenyewe! Pia, inaweza ikawa, waalaaaa si MDADA! Click to expand... Hatari na nusu
Ghiti Milimo said: Haitashangaza, baadhi ya ID zinazomkaribisha hapa, ni zake mwenyewe! Pia, inaweza ikawa, waalaaaa si MDADA! Click to expand... Hatari na nusu
chimamii Member Joined May 24, 2022 Posts 5 Reaction score 14 May 26, 2022 Thread starter #18 Nashukuru kwa ukaribisho wenu wanaJF, wale wakunitembeza majukwaani ndio naoga apa nivaee nitokeπππ na pia niko single atii
Nashukuru kwa ukaribisho wenu wanaJF, wale wakunitembeza majukwaani ndio naoga apa nivaee nitokeπππ na pia niko single atii
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,980 May 26, 2022 #19 acha uongo we dogo
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,409 May 26, 2022 #20 Utakuta huyu anaejiita "binti mrembo" ni kijeba chenye ndevu kabisa. Sasa jichanganye!