Nipo wilaya ya Rombo kikazi hii wilaya ni ngumu sana kuishi

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,984
14,761
Habari wanajamvi,

Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji.

Waziri wa maji ebu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini.
 
Wanawake wa huko si ndio walikodi Madume yenye kuweza kutoka Kenya?

Halafu si ndio wale wapigaji dili,na majambanoka wengi huko.
Wakihamia Dar hawarudi,maana Dar dili za kupiga kibaooo,ila kwa hali ya sasa watarudi
 
Habari wanajamvi!

Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
Hivi ukisema wilaya yoyote kwenye Mkoa wa Kilimanjaro (ukiondoa upareni) ni ''ngumu sana kuishi'' ukienda wilaya za mikoa kama Mtwara, Lindi na Dodoma utasemaje?
 
Kweli wewe jipu! Uwongo mtupu! Upo rmb kweli au? Kuna rmb ya kenya na ya tz
 
Habari wanajamvi!

Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
Muulize selasini anafanya nini
 
Maji ya nini ukiwa mgombani asee si unakamata kitochi tu na kiu koma..Na hujamalizia ni wilaya pekee ambayo lami imefika hadi vijijini ndani na hadi kuna mabasi yanatoka Dar to Rombo....So si wilaya ngumu unavyotaka kuaminisha watu...
Kweli mkuu,rombo ni pazuri sana kuishi,hasa kama una kitu mfukoni,nyama choma pale mrere mashati na Kilimanjaro ya bariidi
 
Habari wanajamvi!

Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
pole sana
 
KWANINI UNAMSHUTUMU MKUU WA WILAYA KWA NINI USIMSHTUMU MBUNGE AMBAYE WAKATI WA KAMPENI UNAWEZA KUTA AKIAHIDI KULETA MAJI
 
Kero nyingine ya wilaya hiyo ya rombo ni vijana wengi na wazee kulewa muda wote kilevi aina ya kiroba. Vijana mpaka wanatoka meno
 
Dogo ww upo BTP kwanini uhangaike na maji wakati ya shule yanaletwa na wanafunzi mm nilifanya BTP hapo MKUU Kiboro yaani ni shwari utapatamani tena miaka hiyo unatoka Mtoni Marangu hadi Mkuu kwa miguu j2 gari kulikuwa hazitembei
Warombo hasa kinadada wakarimu sana
 
Umepanic mletaa Mada rombo ni wilaya nyingine Kabisa sema tuu kuna kitu umetoswa maaeneo hayo
 
Tuambie nirombo wapi huko nimeshangaa sana kusikia maana kwetu ni" rombo mashati katangara"kuna matatizo mengine lakini maji tuna mshukuru mungu maana kuna wakati kwenye baadhi yama bomba maji yana toka hata miezi sita mfululizo,bila yaku katika mchana nausiku yakikatika ujue ni mvua kumbwa imenyesha msituni ika funja mabomba.
 
sijawahi kusikia BTP YA S/M YA MIEZI 6! au ndo mpango mpya wa serikali kuwajengea walimu uwezo na ubora? embu fafanua zaid hapa mkuu afu useme hiyo Rombo upo Maeneo gani? MAMSERA, MENGWE, MANDA, KENI, SHIMBI, MKUU, MASHATI, USERI, TARAKEA, RONGAI, KAMWANGA?
 
Back
Top Bottom