Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,763
- 16,975
Habari wanajamvi,
Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji.
Waziri wa maji ebu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini.