Nipo serious

Nipo serious

Hivi nyie mnajidai mnataka wanawake virgin na mimi nataka mwanaume virgin tusipeane presha
 
Wadau kama wewe ni mwanaume hujawahi kumla mdada i mean kama wewe ni virgin comment here natafuta mwanaume ambaye jawahi kufanya tendo la ndoa hajawahi hata kukiss a lady ambaye hajawahi hata kuhug sister zake yeye husubiria the right time comment here.
Naomba uking'atwa ukawekwa alama pale utakapoomba akukiss usije kulalamika hapa....
 
Mimi niko ila siko tayari kuwa na wewe kwa sasa nafanya yangu kwanza sitaki presure
 
Niapishe tu Mimi sina neno ..sababu nimedhamiria kukutunuku
Sema naapa mbele za Kadamnasi ya Jamii forum kuwa sijamla demu yeyote wala kumkiss nakama nadanganya nisisimamishe milele .
Rudia kuandika haya maandiko kwa herufi kubwa
 
Back
Top Bottom