Acha uongo wewe! Wanawake hupenda sana mtu anayepiga bao nyingi na kama unauwezo wa kuziunganisha ndiyo wanapenda zaidi. Ukikua utagundua hilo. Tafuta tatizo lingine linalowafanya wakukimbie.
Tatizo unalijua unauliza nini tena?Habari zenyu wana Jf. nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti kadhaa. kwenye kutimiza mahitaji ya msingi huwa nasimamia ipasavyo. Yaani sina mkono wa birika. Tatizo nipale baaada ya lile tendo mabinti huwa wanakula kona. hata hivo nimenot kuwa wengi huwa wanalalamika kuwa huwa naunganisha mishindo. yaani siyo siri kwangu mimi kupiga moja then nile pose naona ni jinai. isitoshe hata baada ya mshindo mlingoti badohuwa umesimama. hivyo basi huwa naweza kuunga matatu. ndiyo napumzika. kila ninayekutana naye huwa harudii tena. Sasa najiuliza ni bora niwe na mahusiano bila kukutana naye. maana baada ya kukutana ndiyo huwa mwisho. Hunikimbia kwa kusema mimi huwa natoa adhabu. badala ya tendo.
Tena aanze na tatizo la
ubakaji, nahisi atakuwa miongoni japo hajitambui....Pia mkuu kama
umenote tangu matokeo ya Zeroes yatoke jamvi limeharibika
sanaaaaaaaaaaaa, kila mgeni anakuja na mambo mapya. Sitaki kuamini kama
tumefika hapa.
Na wengi wanajifanya bidhaa adimu!
Wanatafuta soko.
Habari zenyu wana Jf. nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti kadhaa. kwenye kutimiza mahitaji ya msingi huwa nasimamia ipasavyo. Yaani sina mkono wa birika. Tatizo nipale baaada ya lile tendo mabinti huwa wanakula kona. hata hivo nimenot kuwa wengi huwa wanalalamika kuwa huwa naunganisha mishindo. yaani siyo siri kwangu mimi kupiga moja then nile pose naona ni jinai. isitoshe hata baada ya mshindo mlingoti badohuwa umesimama. hivyo basi huwa naweza kuunga matatu. ndiyo napumzika. kila ninayekutana naye huwa harudii tena. Sasa najiuliza ni bora niwe na mahusiano bila kukutana naye. maana baada ya kukutana ndiyo huwa mwisho. Hunikimbia kwa kusema mimi huwa natoa adhabu. badala ya tendo.
wanawake wanapenda wanaume wenye kupiga mabao mengi lakini sio yanayokuja mfululizo wewe unafikiri kuchanua nyonga dakika zaidi ya thelathini ni mchezo wa kitoto,chura hupenda maji lakini sio ya moto mkuu.bao tatu bila binti kupumzika ukichukulia uchelewaji wa bao linalofuata huwa mkubwa kuliko la kwanza anayemudu huyo ni mcheza x,changudoa au mweye chibwalabwasii kigumu kama unyayo wa mguu wa mbeba zege.Acha uongo wewe! Wanawake hupenda sana mtu anayepiga bao nyingi na kama unauwezo wa kuziunganisha ndiyo wanapenda zaidi. Ukikua utagundua hilo. Tafuta tatizo lingine linalowafanya wakukimbie.