Nipo njiapanda

Kumbe hii story ni ya tangu mwaka juzi......lakini watu bado wana mzuka wa kuchangia tu....kweli JF ni noma kwa viporo.....
 
Ebu mwachie mtoto anyonnye kwanza maana msije mkapatia mtoto akawa kitu cha ajabu mwambia asuburi kwanza mwaka uishe aisee ilo la miujiza labda ufunge na kuomba mungu amfunue ex wake akumbuke kuna mtu anamlilia sana
 
Ngoja Tyta arudi huko alipoenda.
 
Last edited by a moderator:
ucjute khantwe mi ni kwel hata kuna uzi nilianzisha haba siku 2 kabla cjajifungua kuwa sijui nimjulishe?

..tunataka kuondoa utata..nijibu maswali yangu..
 
..tunataka kuondoa utata..nijibu maswali yangu..

nimeshakujibu cjawah kuolewa... ila my x ilibaki ndoa tu nikapata ujauziti akaniambia nitoe ili mambo yetu yaende sawa sababu alikua anaogopa kutengwa kanisani tukifunga ndoa na ujauzito... ilibidi aache nikaenda kwake kigum alininyanyasa sana nikaondoka.
 
hapana ila baba mtoto wangu ilifanya process zote ilibak ndoa tu ndo nikapata ujauzito tukaanzia hapo migogoro

unaweza kunifafanulia hapo kwenye nyekundu..

niambie na umri wako tafadhali hata kwa range....
 
nifafanulie post no 27...na sema una umri gani...
 
unaweza kunifafanulia hapo kwenye nyekundu..

niambie na umri wako tafadhali hata kwa range....

sasa tyta mtu mpaka mahali ametoa sio kama mume? kumbuka ilibaki ndoa tu lakini kilakitu kilikua tayar means hadi utambulisho na hapo juu nimeeleza niiliishi kwake alinifanyia visa nikaondoka nikiwa mjamzito. umeelewa
 
wewe ulisema mmeshaoana hapa unaleta habari nyingine...

inaelekea hata hii habari huikumbuki uliitoa lini..kwenye blue hukuandika wewe??
 
mazafanta kumbe anatudanganya aiseee .. Tyta asante sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…