Nipo njiani kwenda Songea-Ruvuma

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
1,512
Reaction score
772
Nimefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na chuo cha st. Joseph pale Songea jiran kidogo na mji hivyo naomba wa Jf mliopo songea tufahamiane kwan m natokea Moshi na ni mgen. Natarajia kusafir kwenda chuon kesho ila nahitaji chumba cha kupanga karibu na chuo nipo tayar kutoa elfu 40 ama zaid kwa mwezi kiwe na umeme kisiwe na historia mbaya kama vile watu kushindwa kuish sabab ya mapepo naomba mnipe msaada huo wana Jf mliopo huko atakayefanikiwa kunitafutia chumba nitamtunza kias flan cha fedha. Asante



---UPDATE---
Ndugu wanaJF nawashukuru sana kwa ushaur wenu kwani mmenipa moyo sana na nimefika salama nipo Mbalache G. House ila kwa bahat mbaya na kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sijafanikiwa kusajiliwa na chuo nilichokuwa mechaguliwa hivyo kesho narud kilimanjaro.
 
kaka karibu sana songea chuo kipo ruhuwiko kama unaenda peramiho nauli kama mia 5 toka songea mjini hadi huko ruhuwiko vyumba sina uzoefu navyo me mwenyew mzaliwa wa huko ila niko dar, mazingira ni mazuri kwa pindi piah hakun starehe za kutisha sana ambaz zita interfre na masomo yako wangoni wakarimu sana, kama mlez kuna ki2 kina itwa ilanz safari njema

gari nzuri superfeo , mbeya express, saibaba.
 

asante sana ndugu ila swala la chumba linanitatiza sana maana chuo hakina hostel za wavulana huna hata ndugu huko anayeweza nitafutia nikamlipa
 
Sidhani kama Songea kuna vyumba vya elfu 40000, kule chumba chenye hadhi nzuri haizidi 25000.

Mkuu kule maisha sio gharama , maana mji wenyewe hauna pilika nyingi. Na unakua kwa taratibu sana.

Usifananishe na Arusha.
 
mi nipo hapa songea , chuo hakipo mbali vyumba vya kutosha na chenye gharama xana ni 30000 , kama unataka nitafute 0718857236
 
kaka kiukwel niliondoka mda mrefu sana ila ukifika usiogope fatuta gest za uko ruhuwiko gharama haizud elfu saba per day ila nina dada mmoja namfahamu anasoma hapo ila si unajua tena ni mdada sidhani kama anaweza hiyo kazi ya kutafuta chumba
 
kaka kiukwel niliondoka mda mrefu sana ila ukifika usiogope fatuta gest za uko ruhuwiko gharama haizud elfu saba per day ila nina dada mmoja namfahamu anasoma hapo ila si unajua tena ni mdada sidhani kama anaweza hiyo kazi ya kutafuta chumba

nashukuru mkuu, nategemea kuona wanyama kibao njian kuelekea huko
 
Sidhani kama Songea kuna vyumba vya elfu 40000, kule chumba chenye hadhi nzuri haizidi 25000.

Mkuu kule maisha sio gharama , maana mji wenyewe hauna pilika nyingi. Na unakua kwa taratibu sana.

Usifananishe na Arusha.

asante kwa ushaur mkuu
 

saibaba walisha chomoa kitambo kuna New force..
 

Kuna jamaa angu ana soma kule ngoja niongee nae afanye mchakato kama vp akupokee afu muangushe chumba kimoja we unavo endelea kutafuta chumba.....na kiukweli kaka kama unatoka moshi moja kwa moja hautafka kesho itabd ufike makambako ulale then kesho ake ndo uende songea maana ukitoka moshi na hood makambako wafika sa 5 usiku mda huo gari za songea hazipo mpaka kesho ake so utalazimika kulala pale na mm ni mwenyeji wa makambako vibaka,wengi na,wapiga nondo si kutishi ndo ukweli...ila kama unatokea dar fresh unafika siku hio hio......so sijui we unatokea wapi...
 

kwel mkuu hawa watu wakarim yaan kupanda tu kwenye gar kuna jamaa akaniita akaninong'oneza "dogo funga zipu"
 

Hakuna chumba cha kupanga songea cha tsh 40 elfu labda nyumba ya gorofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…