nani mbuzi
Member
- Jan 2, 2014
- 79
- 11
Naingia moja kwa zote kwenye mada. Nina wasichana wawili mmoja ana kipato namaanisha kazi, msichana wa pili yuko kijijini mkulima, niko kwenye wakati mgumu nahutaji kuoa kati yao.
Na mimi sina kazi naunga unga tu kimjini siku zinaenda.Sasa basi huwa napata msaada wa kifedha kwa huyu msichana mwenye kazi. Pili msichana wa kijijini ananitegemea sana japo halipi kivile ila huyu aliye na kipato anaridhisha sasa.
Nimuoe yupi na wote wako tayari kuolewa?
Ushauri wakuu