Nipo njia panda ......

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
naomba muondoe mzizi wa fitina juu ya hili swala ambalo tulikaa vijana zaid ya watano tukijadili bila kufika muafaka zaid ya kupga kelele ...ETII KUna uwezekano gani ukatembea na mtu mwenye ukimwi (HIV) zaidi ya mara moja bila kuambukizwa ugonjwa huo?
 
kwa kweli uwezekano upo mkubwa si unajua tena mpaka mchubuane pande mbili mchubuano ukitokea damu ya muathirika icontaminate na damu ya asiyeathirika.
Ila try this at your own risk 🙄
 
kwa kweli uwezekano upo mkubwa si unajua tena mpaka mchubuane pande mbili mchubuano ukitokea damu ya muathirika icontaminate na damu ya asiyeathirika.
Ila try this at your own risk 🙄

Mmmh aisee
 
kwa wanaume inawezekana.but kwa wanawake ni vigumu coz wanafluid au majimaji kutoka kwao na anayotoa mweza wake(seminal fluid$ sperm)ambayo yanabaki ndani ya mwili kwamda mrefu.kama siku mbili au tatu baada ya tendo.sasa endapo hizo sperm au seminal fluid zitakuwa na virusi kutokana na kupita sehemu zenye michubuko hasa kwenye njia zinapopitia. hali hii inawezakupelekea kusambaa kwa majimaji hayo ndani ya mwili na mwanamke kupata ukimwi.mtazamo tuu....
 

hahahaaa! mi natembea nae kila siku. hata leo nitatembea naye kuelekea kwa mjomba!
well, watakujuza wajuvi!
 
Uko njia panda unataka kuvunja nazi au mayai??
 
ndio inawezeka kama kabla ya tendo umemwandaa mwanamke ipasavyo mpaka kumekua na majimaji ya kutosha ukeni kwake hii itapelekea kutokupata michubuko wewe au yeye. Nawasilisha
 
!
!
inawezekana mkuu kwani ingekuwa kila ukiduu na mwenye ngoma unapata nadhani tungekuwa tushaisha!.....mbona hushangai mama mjamzito muathirika kujifungua mtoto hana virus wakati wanatumia damu moja
 
naam, ondoa shaka mkuu sababu zipo ila nyingi ni za kiasili.
1.tofauti za kimaumbile
kama uke ni mkubwa zaidi ya uume, uwezekano wa michubuko una pungua
2.maandaliz muafaka kabla ya tendo
3.kiwango cha maji maji ktk uke
4.nidhamu wakati wa tendo(fujo maranying hupelekea michubuko isiyo ya lazima)
5.kutokuwa na maambukiz ktk sehem za siri(uti,viginal candidiasis,fungus...
pamoja na sabu zingine nyingi , hii haihalalishi ngono isiyo salama!!
ukimwi hauna kinga wala tiba ingawa baadhi ya watu huamin ktk matumiz ya baadhi ya dawa kabla yatendo huzuia maambukizi.

mfano hai wa uwezekano wa hii mada nikutoka kwa jamaa yangu wa karibu sana ambaye mke wake aligundulika kuwa na maambukizi ya h i v tangu 2009 wana mtoto na yeye pamoja na mtoto hawana maambukizi na mpaka sasa wanashiriki tendo kama kawaida.
ni hatari lakini salama. try it for u ar own risk!
 
usikute alikuwa ana mpenzi wake wamefanyana ngono zembe eee baada ya mda anasikia maneno kitaa kuwa mjamaa amewaka so hapa anakuja kujiresearch
Hahahah....au umsindikize angaza mkuu.. lol.
ila mleta mada njia sahihi nenda angaza kajiangazie au huyo mtu mwambie aende angaza akajiangizie.
Free of charge
 

nimeguswa hizo dawa wanazoamini zinazuia maambukizi kabla ya tendo ni zipi??mbona mambo ndo nasikia leo hii
 

usiogope mkuu,inahitaji ujasiri tu kupima na kuchukua majibu.kwanza nikikuona tu uko negative,ila kapime tu kujiridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…