Daaaaaaah! Hapo Mkweere wallah tena kasukuma nGOZI, unacheki picha ya pili hapo: mdada kaziba nanihii yake, ****** katia mikono mfukoni kunyanyulia suruwali: hapo huenda wamekurupuka mchezo haujaisha vzr wameshtuliwa "oyaa, tunachelewa flait mkuu" hahahaaa!
Jamani apa Membe alikuwa makini ili mdada asije akamzushia Jk yale mambo yetu kama yule aliyekuwa bosi wa IFM. Sandals apo sio UN ni hotelini jamani. Au kwakuwa wamependeza ! Waenga walisema KAZI NA DAWA
Rais wetu inapendeza sana ukiwa naye safarini maana naona mambo flani mnakula na kucheka tu. nyie mwala nchi tu hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania