Thanks mkuu...ila nimejaribu sana kumshauri juu ya hili amegoma katu.Problem...umejitafutia mwenyewe! Ukitaka kuwa salama huo mwenye mimba ya 2, atoe haraka sana! Unajichimbia kaburi, nakushauri kama mdogo wangu!
Kutoa mimba sio hoja, zimetolewa nyingi sana humu duniani
Kulea sio tatizo kwangu bali ninachohofia ni kutokea misiba miwili kwa mkupuo endapo wa awali ataligundua hili.Tamaa ili mponza fisi. Unajua mda watu huwa mnajitakia matatizo pia usije kusema bahati mbaya hiyo.
Kwanini ukimbilie kutoa mimba Lea na hiyo.
Use your head to think not your dushe
Sasa kwa ajili hiyo uko radhi huyo binti atoe mimba. Ili kuepusha hiyo dhahama au?Kulea sio tatizo kwangu bali ninachohofia ni kutokea misiba miwili kwa mkupuo endapo wa awali ataligundua hili.
kwendraaaa mwongo weweHapana niliwapenda ndo maana nikawa nao mkuu.