Nipo njia panda wandugu

simu aliyokuwa akitumia ambayo ikuwa na uwezo android ilikuwa inastack kama kawaida yake akachukilia hasira akaibamiza chini baada ya siku kadhaa ilikuja kuzima ghafla akawa ameenda kwa dada yake jioni yake nikamuona na nokia ya tochi sasa hapo sijui nitamhack vipi
 
Achana nae haraka sana maana kama ukija kujifunga kwa kumuoa wakati unajua kabisa ni tatizo, utalia peke yako maana utakuwa umeyataka mwenyewe.
 
Wewe jamaa unapenda sanaaa unakuwa ma wivu wa kitoto kwa hivyo huyo demu ashakujua na atakusumbua zaidi ukimuoa. Hatupigi wanawake siku hizi, kama kakushinda temana nae haraka kabla hujamzalisha.
sasa mkuu unaposema wivu wa kitoto kwa hiyo aendelee kunisonya na kuchart na mabwana maana nilikuwa namuonya alichokifanya si sahihi so nikaweka msisitizo na kibao tulivu
 
mkuu namkojoza mara dufu lkn bado tu
 
Mwanamke wa kukufyonza hata mm anakula vibao
 
Achana nae haraka sana maana kama ukija kujifunga kwa kumuoa wakati unajua kabisa ni tatizo, utalia peke yako maana utakuwa umeyataka mwenyewe.
labda unipe technics za kuanza kumuacha maana ghafla naona kama najikamua na mimi
 
Achana nae haraka sana maana kama ukija kujifunga kwa kumuoa wakati unajua kabisa ni tatizo, utalia peke yako maana utakuwa umeyataka mwenyewe.
ni kweli mkuu nimekuwa pia nikitafuta replacement yake ila bado sijaona ila ninamiini siku akipatikani nitampa uhuru achart mpaka wagalagale
 
Maisha yana mambo mengi ya kufanya, hata hvyo hamna kitabu kilichoandikwa kuwa bila yeye huwezi ukaish, amka mkuu you are so handsome na kuna wanawake zaidi ya 20 walio tayari kukupa furaha, jali afya yako utakonda kwa ajili ya mtu mmoja nawe familia taifa vinakutegemea. Mi nadhan kama kweli unataka amani ya nafsi chukua hatua. Kamwaga mboga we mwaga wali halafu tuone.
 
sasa mkuu unaposema wivu wa kitoto kwa hiyo aendelee kunisonya na kuchart na mabwana maana nilikuwa namuonya alichokifanya si sahihi so nikaweka msisitizo na kibao tulivu
Kwa vile huyo sio mkeo na haujazaa nae watoto mwache haraka. Atakuwa mzigo mzito kama gunia la misumari. Je upo tayari kuvumilia kuubeba mzigo huo ktk maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani? Huyo hana heshima wala hekima na ndio kalelewa hivyo hatobadilika sasa. Chukua hatua mapema. Kama umemzalisha mvumilie mtunze watoto lakini nahisi bado.
 
mkuu naogopa huenda akawa dada wa mtu humu pia nilijihami jana kwa kudelite kila kitu chake mpaka namba,pics na videos ili nianze kuisoma namba taratibu
Kwaiyo unateswa na mapenzi sio?
 
kumzalisha bado maana huwa nakimbia siku zake za hatari jambo ambalo litamcost yeye na mimi pia maana familia yake ina uwezo na wana hadhi fulani kidini hapa town
 
mkuu umepigilia msumari yaani ni mtu anayejiona malaika hapendi umkosoe hata kama unaona kabisa jambo fulani lina dosari ya moja kwa moja yeye huona unambishia na humuungi mkono
Ukiona imefika mahali panya anapita mbele ya paka kwa maringo na madoido basi ujue paka huyo kesha dharaulika kwa kiwango cha juu kabisa kufikiwa.
 
Huna mambo mengine ya kufanya?
mkuu unarahisisha sana haiwezekani nikose kazi ya kufanya ila hili ndo kikwazo kwangu ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanathubutu kuleta masikitiko yao humu maana wanaamini watapata suluhisho humu humu sasa unapokomaa sina kazi una maanisha najiendekeza kwenye hili suala ...hili ni situation ya hisia hvyo kama utanisaidia nijiepushe vipi kwenye hizi hisia za maumivu utakuwa umenisaidia sna
 
Haha,umetoa ya moyoni aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…