Nipo njia panda wandugu

Mkung'ute mpaka aseme huwa anawasiliana na nani.afu ukiishi na mwanamke jaribu kuficha madhaifu yako kwake,hata kama unampenda sana,usionyeshe kuwa unampenda sana,na pia usiruhusu mwanamke akakuzoea sana,mwisho wa siku ndo mambo kama haya,umemlamba kakofi kamoja anakuvutia domo.
Me binafsi kuna x wangu nadhan huwa ananimiss mpaka leo,nilikua siishi nae lakini alikua akinizngua,nlikua namuita taratibu namfungia chumban afu namkung'uta ipasavyo,mwishowe me nikaja nikampotezea mwenyewe,akaolewa na mshkaji mwingne lakini mpaka leo ananipenda.
 
Hukumchunguza mwanzoni kuwa hana mahusiano na mwanamne mwingine?
before kipindi hatujaanza kuishi pamoja aliwahi kucheat nikadhamiria kumuacha kabisa akakiri ni kweli na kweli hakuwahi kucheat tena na jamaa huyo
 
Azima Simu Yake Ingia Google Search SPYHIDE,Download App,Alafu Jisajili/Register Weka Email Yako Na Password Baada Ya Hapo App Itapotea Pale Ktk Screen/Homepage. Baadae Utakuja Kufungua Email Yako Na Kusoma Messages Zake Zote.Tafuta Dereva Wa Kukuwahisha Hospitali Au Ambulance,Au Vidonge Vya Kushusha Presha Viwe Karibu!!
 
Madem wa sikuiz ukiwadekeza utaumia.... tumia busara lakin pia muonyeshe msimamo wako... kama hataki aende... just plain and clear
 
Achana nae huyo ili uishi na mtu lazima umwamini whatever then dini ni kiunganishi kikubwa sana kubali kumuacha kabla hujaachwa
 
Madem wa sikuiz ukiwadekeza utaumia.... tumia busara lakin pia muonyeshe msimamo wako... kama hataki aende... just plain and clear
mara nyingi sana maisha ya kikauzu sijayazoea nadhani ustaarabu wangu ndio unaonicost pia na uhuru niliompa yote haya nimeshachelewa sana
 
Temaaa uyo hana adabu,na inaezekana huyo anayechart naye ndio wa dini yake wewe ni km spear tu siku ziende nk! Kakibao tu ndio ndio atake kusepa ni kwa sababu ana alternative, we piga chini mpe nauli yake muambie ukirudi jioni nisikukute basi.Wanawake wapo wengi sana huna haja ya kuhuzunika,tafuta kitu kipya life goes on.
 
Kwa nchi maskini kama hii??post ya kwanza mapenzi???kweeeli
 
yeye ni muislam pia anayechart naye ni mkristo ila anaitumia hiyo njia kama kujipoza na hata kama atasepa wakawa wote sidhani hata watavumiliana hata miezi 2 ...kiukweli huyu binti mapungufu yake inahitaji mwenye moyo mashine
 
mara nyingi sana maisha ya kikauzu sijayazoea nadhani ustaarabu wangu ndio unaonicost pia na uhuru niliompa yote haya nimeshachelewa sana
Unajua brother kuwa mstaarabu ni jambo jema. Ila ukifika wakati wa kutumia nguv... tumia nguvu.
Kuwa mpole kidogo... kuwa mkali pia...
Lazima mwanamke ajue unataka nn na unapenda nn.... sio yeye ndio akuamrishe
 

Hawa sio wa kucheka Cheka nao saaana
 
Wewe jamaa unapenda sanaaa unakuwa ma wivu wa kitoto kwa hivyo huyo demu ashakujua na atakusumbua zaidi ukimuoa. Hatupigi wanawake siku hizi, kama kakushinda temana nae haraka kabla hujamzalisha.
 
Unajua brother kuwa mstaarabu ni jambo jema. Ila ukifika wakati wa kutumia nguv... tumia nguvu.
Kuwa mpole kidogo... kuwa mkali pia...
Lazima mwanamke ajue unataka nn na unapenda nn.... sio yeye ndio akuamrishe
ndicho nilichokifanya jana kunasa kibao hapo ndipo alipoijia juu baada ya kukaa muda mrefu na kuona nimerudi kwenye hali yangu ya kawaida anadai kama nimeweza kupiga kibao siku nyingine nitaweza pia kumuua ...ndio madai yake yakuondoka hapa home ...amekomalia hatorudisha moyo nyuma na mimi nimekubaliana na madai yake ingawa anadai hatoondoka leo wala kesho ila akiweka mambo yake sawa ndio ataondoka jambo ambalo sikubaliani nalo kama kusepa asepe tu
 
Zidisha mapenz kwa pengine kuna kitu anakosa kwako. Kaa nae muulize, Dini sio tatzo kila mtu na abaki na Dini yake muulize anapenda nn sio kupiga tu. Km mm ukinipga nakusubr umelala nakulipilizia mambo ya kupigana cyatak kabisaa. Bora ongeeni yaishe muish km zaman
 
labda kwa kuongezea kwenye maelezo ni kuwa kuanza kuishi naye ni yeye aliyenishawishi kuanza kuishi pamoja na nilikuwa nikiishi mtaa mwingine ambao upo mbali na chuo chao maana alilipiwa awe anaishi hosteli sasa akafanya ujanja fulani akatoka hosteli na tukahama nilikokuwa tukiishi morombo (arusha) tukasogea maeneo ya sekei (arusha) ili awe karibu na chuo kwa hiyo hela ya hostel aliitumia kwa matumizi mengine ingawa mpaka sasa wazazi wanajua yupo hostel dat y anadai hataondoka leo wala kesho jambo ambalo mimi litanipa mateso ya muda mrefu cuz ataendelea kuwasiliana na boya wake huku akiendelea kuishi ndani ya nyumba ninayoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…