Kwanza napenda kuwasukuru wote milionidhauri vizuri ns hata wale walioniponda kwani akili ni nywere kila mtu anazake.
Mimi ni yule niliyeomba ushauri juu ya nilitumia USA dollars za mchumba angu kwasjili ya kujengea makaburi ya ndugu zake. wakat yy akiwa ulaya.
Sasa leo naomben ushauri tena kwani
yule mchumba angu kaja kutoka ulaya na
nilimweleza sababu ya mm kutumia zile dollars zake na nilimwonyesha CD ya movie niliyoishot wakat wa kazi toka mwanzo had mwisho.
kwa kwel alifurahi sana na alinipongeza et mm ndiye mwanaume ninayemfaa kwan nimeweza kusimamia kila kitu alichoniachia vizuri na eti ile hela alituma iliinisaidie kwa kaz hiyo na alijua kuwa kwa mshahara alioniachia hautatosha ndio maana alituma zile dollars ila alinitega kuwa niziweke bank na nisizitumie.
Hivyo bas ameniomba mara nipatapo ajira. maana nasubiria ajira za ualimu. nipeleke mahari walau laki 500,000. ila mama mkwe ndiye aliyebaki mzazi pekee baada ya baba mkwe kufariki kaniambia kuwa mwenz huu febr niende na mwanae akanikabidhi bint yake awe mke wangu harari ndagu zake wote wameafiki nipewe mke bure kwa jinsi nilivyoonesha uungwana na heshima na uaminifu.
kubwa zaidi mchumba angu hataki mm nimuoe bure bila mahari hivyo anapinga juu ya yy kuozwa bila mahari.
je nifanyeje ndugu zangu. kwani amekataa kwenda kwao had watakapo kubali kupokea mahari yangu lakin mm pia nilimwambia kuwa nipo tayar kutoa mahari kwan had sasa anaujauzito wangu wa mwez mmoja. ila ndugu zao wote wamekataa kupokea mahari yangu wsnataka mm nimuoe binti yao bure.