Nipo njia panda nisaidieni

Nipo njia panda nisaidieni

Wavulana mna kazi...

Wasalimie Arusha...
 
peleka mahari kijana utakosa mke
tena ushukuru katoka ulaya kukubali kuendelea na ww.
jipange kalipe mahari kijana hata ww itakujengea heshima
 
Da!wewe unataka mke basi aina budi kufanya hivyo japo wengi watasema umemnunua naamini umempenda kwa dhati si unajua kupenda au mapezi nn!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom