Nipo njia panda,nifanye nini?

Nipo njia panda,nifanye nini?

Cruel mpole

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
282
Reaction score
106
Asalaam wana jf.
Jamani mimi nipo njia panda,nashindwa kujua njia iliyosahihi,kulia ama kushoto?ebu naombeni ushauri wenu,nipite njia gani,ama nisubiri hapahapa nilipo mpaka Maulana atakapopenda kunijuza njia iliyosahihi.
N.B:Nimetoka kulipuliza chooni,tena lilikuwa fantom laukweli,ukichanganya na ile kali.Yaani ni burudaniiiiii....
 
Akilini kichwani mwako kama unamuamini Mungu kuwa makini na njia unazopita kila siku

Halafu ogopa kupitia pitia njia panda hukawii kukuta nazi zimeandikwa kwa rangi ya juice maandishi ya kiarbu, halafu zimevunjwa tayari

Kuwa makini sana
 
I believe in this,On the forth 10yrs to come,in tz,the two things discouraged will be legalised,these are Marijuana,guy-ish and lesbian.Keep on,waiting for it.
Nota Bene:i'm assistant pastor of Tb joshua.OUR PREDICTION ALWAYS BECOME TRUE.
 
kwani njia panda uliambiwa watu wanafanya nini???

sio kosa lako jina lako ndo linafannya kazi
 
rudi chooni ukalipulize tena huku ukiwa umevua nguo
 
Hahahahaaaaa! Bangi mbaya sana aisee na kama ubongo wako n kama wa kuku itakupa shda sana
 
Tuletee na cc tujaribu labda kati yetu kuna atakayeweza kutoa maamuzi kulingana na hali halisi. Kwa sasa ngumu kwa sababu hatujaexperience mazingira
 
Cha Arusha.

aendelee tu kushoto...

1001466_398141483629505_592967184_n.jpg
 
shibe mwana malevya.....

ngoja kiangazi kianze tuheshimiane..
 
Asalaam wana jf.
Jamani mimi nipo njia panda,nashindwa kujua njia iliyosahihi,kulia ama kushoto?ebu naombeni ushauri wenu,nipite njia gani,ama nisubiri hapahapa nilipo mpaka Maulana atakapopenda kunijuza njia iliyosahihi.
N.B:Nimetoka kulipuliza chooni,tena lilikuwa fantom laukweli,ukichanganya na ile kali.Yaani ni burudaniiiiii....

lala chali bwana atashuka juu yako na hapo atajfngua chaarusha kingne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom