Nipo Njia Panda Naomba Mnishauri

Miaka mitatu ni mingi sana washasahauliana na hawawezi kurudiana tena, ww piga mzigo haraka sana kabla ujapoteza hiyo nafasi,
 
Huyo mchizi wako kama akaimaindi atakuwa boya....na wewe acha uboya kula huyo demu...nakumbuka nilikuwa na mchizi wangu very close friend kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari mpaka mtaani ....mi nikila demu na yeye anamvizia anagonga..na yeye akila demu nafanya hivyo hivyo....na wote tunakua tunajua....hakuna anaye mind...siku nyingine tukiamua tulikuwa tunapiga collabo(mtungo) hasa tukishamlewesha demu...na mambo yalikuwa yanaenda...mpaka nilkuja kuoa demu ambae pia alimkosa kosa kidogo...kwa hiyo nyie wote nawaona ni maboya kama mnamaind vitu vidogo namna hii,hao viumbe hawahitaji staha yeyote
 
Mimi kwakweli kuwa na mahusiano na mtu aliyekuwa na mahusiano na rafiki angu naona ni usaliti.

Mimi mwenyewe rafiki angu akitembea na aliyekuwa mpenzi wangu, sitakaa nimtazame vizuri.
Kweli mkuu ndio maana mimi nafsi inanisuta hata kabla sijachukua uamuzi
 

Hakuna lolote...hautakiwi kuweka rohoni hivi vitu....mimi nina best yangu tulikuwa tunapokezana mademu sana tu,tena wengine tulikwa tunawapenda sana tu...wengine mpaka mtungo tulishawahi kupiga.....na mpaka leo mimi na jamaa ni marafiki wakubwa ila mademu tumewatosa wengi sana......inategemea na kiasi cha uboya wenu
 
Duh mkuu kwa historia hiyo basi huyo mkeo jamaa sio kwamba alimkosakosa bali alishampitia. Au atakuja mpitia tu huko mbeleni.
 
Kuwa makini sana. Ukiendekeza ujinga na umaskini utakuwa kulia maisha yako yote.
 
Hii dunia ya ubepari mzee baba wewe kwanza yule baadae.

mm nilikuwa na rafiki yangu damu damu halafu family yao iko vizuri alinipeleka kwao nikakutana na mdogo wake nikakata, kipindi hiko nimechoka mbaya.

Jamaa alipojua alimind lakin dogo ndo hivyo alining'ang'ania ikabidi awe mpole akabaki na kinyongo moyoni

Mpaka muda huu nimemuoa dogo na family yake imenipa cha kufanya, nakula vyuku kwa mrija.

Kuwa na sera kama za mmareka maslahi kwanza urafiki baadae.
 
Kweli mkuu ndio maana mimi nafsi inanisuta hata kabla sijachukua uamuzi

Don't do that.

Swala la pesa, pambana kiume...yaani nakushangaa wataka kuwa mariooo?? Au utapewa ajira kwenye miradi yao??

Unafikiri utajisikia uko huru?? Mwanaume kupewa pesa na ke ni kuishushia hadhi uanaume. Pambana uwe na vyako bana, umpe mke pesa.
 

Ni kweli nyie ni maboya...na hao madada ni maboya wahead
 
Hahaha mkuu wewe ni nyoko
 
Mkuu for the sake of your friendship na mwana. Jikatae mbaba usile huyo shem wa kale.
Ila kama huna option kill the friendship beba huyo mtoto.
 
Sababu ya yeye kuachana nae uliijua?
Kulala na ex wa rafiki yako ni tabia mbaya.. yaani wewe ni utakuwa bomu usiyejiheshimu. Kichefuchefu kuwa hata unafikiria kufanya hivyo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…