Mrejesho: Mpenzi wa zamani na mdogo wake

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
7,889
Reaction score
20,981
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
 
Ingawa usiniige, ila nilipata kumfumania mpenzi wangu, baadala ya kuniomba msamaha akadinda; nikamweleza kuwa nitamkomesha kwa kuzaa na mdogo wake alpha maana ndiye alikuwa kisu. Kijana yupo sekondari sasa
 
Kuwa makini mjombaa na mademu wa chuo.....Tena ongeza umakini sanaa,usimpe nafasi kubwa ya kukujua mapema kwani ataitumia hyo kujivisha ngozi ya kondoo na kupretend kwako.

Jipe muda na utumie Sana akili kumchunguza huenda akawa mbovu zaidi ya dada yake....
 
Duh bado dhumuni lako unalo ? Kuzaa nae utakuwa umemkomesha Sana
 
Kuwa makini mjombaa na mademu wa chuo.....Tena ongeza umakini sanaa,usimpe nafasi kubwa ya kukujua mapema kwani ataitumia hyo kujivisha ngozi ya kondoo na kupretend kwako.

Jipe muda na utumie Sana akili kumchunguza huenda akawa mbovu zaidi ya dada yake....
Nipo makini mkuu
 
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
 
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
Still i don't get the concept,Kwamba unaprove umemkomoa X wako,Or ni nn,Iko hivi Mademu wa chuo hawanaga papara kwenye masirah tena ndo siku ya kwanza tu mzee,kishaweka hesab zake hapo,She acted decently kwako ili usimweke kwenye lile group la wengi &she successed to plunk you.hahahhaa
 
Ujinga wako mkubwa ni kumla mdogo wake,kwa kulipiza kisasi na nikwambie kuwa visasi havina mwisho kuna mtu nae atakulipizia kisasi na itaendelea hivyo hadi utakapoamua kuomba radhi ili ili mkosi wa visasi uishe
 
Still i don't get the concept,Kwamba unaprove umemkomoa X wako,Or ni nn,Iko hivi Mademu wa chuo hawanaga papara kwenye masirah tena ndo siku ya kwanza tu mzee,kishaweka hesab zake hapo,She acted decently kwako ili usimweke kwenye lile group la wengi &she successed to plunk you.hahahhaa
Akili kumkichwa mkuu,,, Niko chonjo Sana
 
Back
Top Bottom