BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,806
Kama upo kuangalia mpira muda huu, saa nne na dakika 51 usiku. Tarehe 12/12/2018
Basi fahamu kuwa mke wako anachat namimi muda huu. Nimemuuliza mme wako yupo wapi, anasema yupo kuangalia mpira. Kwahyo muda huu tunachat story za mahaba, ananiambia twende tukaoge.
Bado sijamtafuna, ndio tunaelekea huko. Tumepanga appointment Jumapili, kwahyo kama leo upo kuangalia mpira na mke wako akasema ana kikao cha wamama Jumapili basi ujue ndio anakuja kuonana namimi.
12/12/2018, 10:51 pm