Nipo Mtwara mjini nahitaji saa kali ya mkononi

Nangose 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,205
Reaction score
6,781
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu ni kuanzia 25,000 - 35,000
 
Kwa mtwara utachemka brow
Hakuna vya maana so kama unaweza agiza dar tuu

Karbu Mtwara!!
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu ni kuanzia 25,000 - 35,000
 
Screenshot_20180918-031525.png
Screenshot_20180918-031525.png
 
Korosho Vp Huko
Mh Dkt John Pombe
Kasema Kilogram Itauzwa Juu
Mbuzi Mtawaleta Mbagala Kama Mlivyofanya Mwaka Jana Wakaja Kutembea

Kuhusu Saa Naamini Utapata Maana Kizuri Pesa
Hahaha dah jamaa hivi ni kweli au?
 
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu ni kuanzia 25,000 - 35,000
Nunua Rolex
 
Ila bei yake imesimamia ukucha
 
Kuhusu korosho mkuu tunamshukuru sana Mjomba Magu naona mambo yatakwenda vizuri minada imeanza na pesa ni mzuri tu..
So mjiandae nyie wanaume wa Dar tunakuja kuwapora vibinti vyenu huko town.... ( hahahaaaaa but joking tu mkuu)

Back
Top Bottom