Nipo Mtwara mjini nahitaji saa kali ya mkononi

Nipo Mtwara mjini nahitaji saa kali ya mkononi

Kwa huo mtonyo hauwezi pata saa kali kama yangu mkuu
 
casio.jpg
 
Mjapan longolongo free bila m usipoteze muda wako na sio mpya ni used mpya kwenye 5m
 
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu ni kuanzia 25,000 - 35,000
Bro umeshapata kuna mtu namfahamu yupo mtwara maeneo ya shangani anazo anauza
 
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu ni kuanzia 25,000 - 35,000
Kwa bajeti hiyo utachemka mkuu, tena mtwara kabisa? Huyo mtu atakua kaifuata mjini kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom