Nipo Moshi huku kumejaa balaa

Nipo Moshi huku kumejaa balaa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Hili vibe la uchagani na upareni this time sio poa wanangu

Yaani toka nimefika huku ni mwendo wa kulewa tu

Watu tunalewa hadi miguu inakosa nguvu magari tunasaidiwa kuyadrive oya sio poa

Uchawi ni hangover sio kwa ninavyochanganya madude

Moshi imejaa kinomaa machali wapo moto kinoma mazee
 
ngoja kesho nije uko kazi ni moja tu nawavunjia mayai nyi s mnalewa hadi miguu haina nguvu ngja ijumaa nafika sbr nile maisha dar sku mbli nawatoa bk huko zenu
 
mwaka huu naona sio mbaya ila tra wanakitu cha kujifunza

huwenda kodi zimechepushwa mana jamaa wanaujanja ujanja mwingi
 
Hili vibe la uchagani na upareni this time sio poa wanangu

Yaani toka nimefika huku ni mwendo wa kulewa tu

Watu tunalewa hadi miguu inakosa nguvu magari tunasaidiwa kuyadrive oya sio poa

Uchawi ni hangover sio kwa ninavyochanganya madude

Moshi imejaa kinomaa machali wapo moto kinoma mazee
Acha hizo, Moshi ipi? Warombo wao mwaka mzima ni Krismasi, kila sekunde wamelewa. Hao wa Moshi mjini wanasafiri kwenda vijijini kwao, hawakai mjini, ukitaka kudanganya ujue kunawengine ni kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom