Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Bableyy

Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
72
Reaction score
26
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau
 
Habar wadau, Nina girl friend wng ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengn ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaid huyu demu wng mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar..... naomba ushauri wadau

unafahamu popobawa........?
 
Bado haujajua mapenzi nahisi tamaa za mwili bado zinakusumbua, ukishajitambua utajua yupi ni mkali kati ya hao wawili na utafanya uamuzi hautachanganyikiwa tena
 
Mpumbavu mkubwa wewe,tena ni mpumbavu usieweza kufikiri.Rafiki usidharau nazi mana embe ni tunda la msimu,usiache mbachao kwa kipitacho. Ukiona umeanza uhusiano na msichana toka mkiwa chuo na mnapendana well and good na pindi umemaliza chuo akajitokeza dada anaesema anakupenda then jiulize,Je angekukuta katika hali yako ya zaman,angekupendaaaaa au kakupendea kwa sababu ya hiyo hela uliopata ya kubadilisha nguo na mboga.

Tusipende kuchezea hisia za dada zetu hata kama una tamaa kiasi gani.Ulishindwa nini kumuambia huyo dada kua ulikua na mpenz wako na mnapendana sana??? Waswahili wanasema ukichezea akili ya mwenzako katika uhusiano then jua umeharibu kizazi chako chote mana mtoto wako nae atafanyiwa hvo hvo na huyo msichana pindi akimpata mwanaume mwingine ambae kapendeza na ana mambo mazuri zaid yako then you are gone.

Penda kuheshimu hisia za mwenza wako
 
Yaani wewe ni mpuuzi sana ukali huo aliokuwa nao ni ukali gani mpk ufikie hatua ya kuutenda moyo wa mtoto watu,mungu atakulaani mpumbavu wewe hujui nini maana ya mapenzi,bali unadhani mpz ni kusex tu,ulimwengu utakuonyesha ngoja ukue.
 
Mdogo wangu usiache tamaa ikuchanganye ukashindwa kuona upendo.
Wewe hapo ushalegezwa na vitu viwilli
1.Uzuri wa sura na umbo unaoona huyo mpya anao zaidi ya wazamani
2. Huko kwenda kukaa kwake ni tabia ya mteremko ambayo kwa bahati mbaya mmetokea kuipenda sana watoto wa kiume Tanzania na sijui kwanini aisee. Hii tabia naiona mpaka kwa mdg wangu na huwa namtania kuwa atakua shoga kupenda vya bure kwa mademu kisa sijui handsome, na anatuhela. Yani uwanaume kwa kizazi cha siku hizi ni tofauti sana na sisi kaka zenu.

Anyways, mwanaume wa kweli atabaki na huyo wa kwanza kama anania ya kutulia na kujenga maisha kwa sasa. Ndio kwanza umeingia "mjini", kwenye ulimwengu wa kazi na kutengeneza hela. Huyo uliemwona ni cha mtoto, ukianza kupanda chati na mishahara utakutana na viumbe amabao hata ukazane vipi huwezi ukavuta picha ya kumwona akienda haja kubwa, yani huwezi kubali kuwa anaweza kunya. Lakini vyote hivyo si kitu mdogo wangu kama ubahatike kumpata mwanamke anaekupenda, tena hata asiwe wa kugeuza shingo za kila mtu.

26, sio mdogo wala mkubwa. Ila huna mda sana wa kucheza, ni mda wa kuchagua kikufaacho na upige lock na ujenge maisha yako.

Mimi yalishanitokea. Tena nilikua nakazi ambayo haipiti miezi mi2 niko ndani ya pipa!

Kila la heri!
 
Habar wadau, Nina girl
friend wng ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa
nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengn ambae
alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza
zaid huyu demu wng mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka
tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija
inakuwaje yeye anaishi zanzibar..... naomba ushauri wadau

dah ndo maana sikupenda mtu yeyote nikiwa chuo.thats why am alway happy no stress. under 30 boyz? GOD 4BID.
 
Back
Top Bottom