Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Mkuu kipindi hiki mtatulia sana kwa wake zenu!
Mmeishiwa hata mia hamna hyo jeuri ya kuchepuka inatoka wapi?
Mmeishiwa hata mia hamna hyo jeuri ya kuchepuka inatoka wapi?
Hahaaaa, maneno yako mkuu umenifurahisahaKicheko cha uchochezi.