Kila kukicha Zomba kila kabila linasakata dansi ya Taarabu!! Hizi zimwejaa matukio mengi si kwa God tu hata kitchen party za watoto wetu!!! Khaa sijui na wewe unawazi kwa kutumia machine gani maana Taarabu iko kabla hata ya Mzee wetu Bi Kidude sasa wewe unalinganisha na mzee wako huyo? Au ndo sifa pekee aliyo nayo nini? Ha ha ha ha!! Bado Kuduku!!